Tuesday, October 15, 2013

NI KWELI BODABODA TUNAZIPENDA, LAKINI BALAA LAKE...

Mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda yenye namba za usajili SM 4331 ambaye hakufahamika jina lake mara moja, akiwa chini haamini baada ya kupoteza mguu wa kushoto mwishoni mwa wiki baada ya kugongwa na gari lililobeba kontena katika Barabara ya Mandela karibu na taa za kuongozea magari Tazara mwishoni mwa wiki.

No comments: