Mwanafunzi kapanda kwenye daladala. Cha kushangaza yule mwanafunzi badala ya kukaa kwenye kiti muda wote akawa akitembea kwenda mbele na kurudi nyuma.
Kondakta akamuuliza: "Oyaa dogo, kwanini hukai kwenye kiti?" Mwanafunzi akajibu: "Sina nauli kaka, ndio maana nimeamua kutembea kwa miguu!" Kasheshe... 
No comments:
Post a Comment