Wednesday, May 8, 2013

CHEKA TARATIBU...

Mke wa mtu akisoma meseji kutoka kwa mwanaume wake wa nje alijikuta akitokwa machozi baada ya buzi lake hilo kumweleza mapenzi yao yamefikia kikomo.
Mume wake akamuuliza: "Nani kakutumia meseji?" Mke: "Dada yangu." Mume: "Anasemaje?" Mke: "Ananifundisha jinsi ya kupika pilau." Mume: "Sasa mbona unalia?" Mke: "Si nimesoma sehemu ya kukata vitunguu!" Kasheshe...

No comments: