Friday, May 17, 2013

CHEKA TARATIBU...

Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na machungwa. Akaambiwa ameze moja-moja, akashindwa na kupigwa risasi. Wa pili akarejea na nyanya chungu. Naye akaambiwa ameze moja-moja, alipofika ya tisa akaacha na kuanza kucheka hivyo akapigwa risasi. Wakiwa kuzimu, jamaa wa kwanza akamuuliza wa kwanza kwanini aliamua kucheka. Jamaa wa pili akajibu: "Nilipogeuka nyuma nikamwona jamaa wa tatu karejea na matikiti-maji!" Balaa...

No comments: