Monday, April 22, 2013

CHEKA TARATIBU...

Mlevi mmoja kakutwa akikojoa eneo la shule na mambo yalikuwa hivi. Mwalimu: "Hilo bango linasemaje?" Mlevi: "Usikojoe Hapa" Mwalimu: "Kwa hiyo wewe unafanyaje?" Mlevi: "Aah, mie nilijua jina la Shule!!" Duh...

No comments: