Friday, March 8, 2013

CHEKA TARATIBU...

Mmasai kaenda kanisani na kuishia nje. Padri akamuuliza: "Rafiki mbona unaishia nje?" Mmasai akajibu: "Unasani mimi mujinga? Si nasikia Simba ya Yuda iko ndani inanguruma!" Duh, kasheshe...

No comments: