SHAMRASHAMRA ZA SIKUKUU YA KRISMASI...

Sylvia Mabwai akiwa na mtoto aliyejifungua katika usiku wa Krismasi kwenye Hospitali ya Amana, Ilala, jijini Dar es Salaam mapema leo.
Waumini wakisali na kutoa sadaka mbele ya pango la mtoto Yesu kwenye kanisa la Mtakatifu Yosefu mjini Zanzibar mapema leo.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwenye fukwe za Coco, mapema leo.
Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Martin De Pores Parokia ya Mwananyamala akiwapa waumini sakramenti takatifu wakati wa ibada ya Misa ya Krismasi, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha kwa hisani ya Mohamed Mambo).

No comments: