Saturday, December 22, 2012

CHEKA TARATIBU...

Kibaka kapanda daladala, mara katika kuhangaika mama mmoja kakosea na kuingiza mkono kwenye mfuko wa suruali ya kibaka. Kwa mapozi, kibaka akageuka na kusema, "Nani kanibipu huyo, maana naona kuna Missed Call!" Kasheshe...

No comments: