CHEKA TARATIBU...

Mzee mmoja alikuwa akijifagilia kwa mwanae kwamba enzi zake alikuwa mhuni ile mbaya. Huku akiendesha gari kwa mwendo mdogo, mara daladala likampita na dereva wake kumtukana yule mzee, "We babu fala sana, unaendeshaje gari hivyo?" Ili aonekane bado mbabe Mzee akazuga, "Eti, kasemaje yule? Bahati yake sikumsikia vizuri!" Duh...

No comments: