Tuesday, November 13, 2012

CHEKA TARATIBU...

Jamaa usiku kucha tumbo linanguruma kwa sauti mara 'gruuuuu….' wakati mwingine 'greeeee…' mara 'truuuuuuu….' Mwishowe mkewe akamuuliza, "Baba Nanihii, vipi mwenzangu?" Jamaa akajibu kwa mkato, "Natafuta RINGTONE ya tumbo langu!" Duh...

No comments: