Sunday, November 11, 2012

CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja Mchagga baada ya kufanyiwa oparesheni ya macho akawa anajaribu kukwepa kulipa kwa kujibu, "Bado sioni". Daktari akamwita nesi na kumuuliza huyu ni nani? Mchagga akajibu, "Bado sioni". Daktari akatoa bunda la noti za Shilingi elfu kumi na kumnyooshea kisha akasema, "Nimeshika nini?" Mchagga akaruka na kusema, "Yesuu, hizo ni pesa! Dokta unataka kunipa kweli?" Duh...

No comments: