Haya ni machache kati ya mambo mengi aliyotuachia
Mwalimu Nyerere kuyatekeleza. Je, wewe umefanya lipi kati ya haya?
Timiza wajibu wako kwa maslahi ya Taifa letu. Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 na kuzikwa
kijijini kwake Butiama. Alizaliwa mwaka 1922. Hadi kifo chake alikuwa na
umri wa miaka 77. Mungu Ibariki Tanzania...
No comments:
Post a Comment