Bond amerejea na ni hatari zaidi kuzidi wakati wowote ule lakini sasa ni M ambaye ni mtu katili mno katika Skyfall.
Akicheza na Dame Judi Dench, mkuu wa usalama anayefananishwa na simba kwenye baridi pale alipomwamuru wakala 'kufanya mauaji', kitendo ambacho kilimwingiza Daniel Craig ama James Bond kwenye hatari kubwa iliyohatarisha maisha yake.
Kisa hiki cha James Bond kilichoongozwa na Sam Mendes ni kiwango halisi cha juu cha 007, kinachokaribia kile kilichoacha kumbukumbu katika filamu ya Quantum of Solace.

No comments:
Post a Comment