| Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk Mwele Malecela akionesha kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana Tuzo Maalumu ya kutambua mchango wa uongozi na kujituma katika mapambano dhidi ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele (IANPH) aliyokabidhiwa na Serikali ya Marekani. |
No comments:
Post a Comment