Chris Brown ametoa video yenye propaganda ya hali ya juu ambamo huku akiongea kilevi amesema anawapenda WOTE Rihanna na rafiki yake wa kike wa zamani, Karrueche Tran ... na kusema, "Sitaki kujionesha kwamba mimi ni kicheche ... ninajali mno wakati mwingine."
Inaonesha njia ya kiujanja ujanja kuelezea uamuzi wake wa kumcha Karrueche katika lijamu baada ya kuwa ameonekana na Rihanna wiki hii.
Katika picha za video hiyo, Brown anajaribu kuponda hojakwamba ametelekezwa -- akiingilia picha yake mwenyewe kwa kufungua shampeni, kusherehekea katika klabu na kuonekana akijikokota wakati akivuta sigara. Kuna wakati alisema, "Nimekunywa kidogo, hivyo ni mwaminifu ..."
Haijafahamika ni lini hasa picha za video hiyo zilirekodiwa ... lakini masaa mawili kabla Brown hajaposti video hiyo, Rihanna alituma ujumbe katika mtandao wa Twitter akisema, "Hakuna ya yeyote yenye ushindani ... Isipokuwa yangu na mpenzi wangu!"
Hakumtaja mwanamke yeyote kati yao kwa jina kwenye video hiyo, lakini kuna picha zilizopigwa za wote Rihanna na Karrueche zimeungwa katika kibano 1:27.
Sehemu fulani alihoji, "Kuna kitu kama kupenda watu wawili? Sifahamu kama hilo linawezekana lakini kwangu nafikiri kama hivyo."

No comments:
Post a Comment