Friday, August 17, 2012

DAMU NZITO HATA KWA SOKWE...

Sokwe hawa, Kesho na mdogo wake Alf walitengana kwa karibu miaka mitatu baada ya kuwekwa kwenye hifadhi tofauti za wanyama. Waliungana tena wiki hii kwenye makazi yao mapya huko Longleat Safari Park na kulakiana kwa mikono mikunjufu na kufuatiwa na kukumbatiana na kushikana mikono kama wanavyoonekana pichani. Hakika damu nzito kuliko maji…

No comments: