Saturday, August 18, 2012

CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kapokea ujumbe ukimtaarifu kuhusu kifo cha mama mkwe wake. Katika ujumbe huo wakaomba ashauri kama mwili wake uzikwe ana uchomwe moto.
Jamaa akajibu, "Msiache kitu. Chomeni mwili wake kisha fukieni majivu yake." Balaa...

No comments: