CHEKA TARATIBU...
Mwanandoa wawili walikuwa wamekaa kitandani wakizozana kuhusu pesa kwenye familia yao. Mwishowe mume akafoka kwa sauti, "Kama isingekuwa pesa zangu, hii nyumba isingekuwepo!" Mke naye akajibu, "Mpenzi wangu, kama isingekuwa pesa zako, mimi nisingekuwa hapa." Kasheshe...
No comments:
Post a Comment