Monday, July 30, 2012

SERIKALI YALIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI...

                    BREAKING NEWS!!                
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Serikali imelifungia gazeti la MwanaHALISI kwa muda usiojulikana kuanzia leo kwa kile kilichodaiwa kuandika habari za uchochezi.
Gazeti hilo linalomilikiwa na mwandishi machachari, Saed Kubenea limekuwa mstari wa mbele kuandika habari zinazofichua maovu mbalimbali bila woga kiasi cha kufikia wakati fulani Mhariri wake Mtendaji, Kubenea kumwagiwa tindikali machoni na Mhariri Mshauri, Ndimara Tegambwage kushambuliwa kwa  mapanga  kichwani ofisini kwao Mtaa wa Kasaba, Kinondoni,  Dar es Salaam.

No comments: