Tuesday, July 24, 2012

CHEKA TARATIBU...

Mzee mmoja kaenda hospitali kuchekiwa afya yake. Baada ya kuchukuliwa vipimo vyote akaingia kwa daktari kwa ajili ya kupata majibu yake. Daktari akamwambia: "Una afya njema kabisa, unaweza kufikisha hadi miaka 80." Mzee akajibu: "Lakini Dokta, hivi sasa nina miaka 80." Daktari akamwambia kwa furaha: "Umeamini nilichokwambia…!" Duh...

No comments: