Wachezaji wa timu ya soka ya Yanga wakishangilia huku wameshikilia kombe baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wao wa Michuano ya Kombe la Kagame kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati baada ya kuifunga Azam kwa mabao 2-0 katika mechi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Mabao ya Yanga yalifungwa na Hamis 'Diego' Kiiza na Saidi Bahanunzi 'Balotelli Mtulivu', ambaye ameibuka kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo ya mwaka huu kwa kuweka kimiani mabao saba.
Sunday, July 29, 2012
BARAFU ZA AZAM ZAYEYUKIA JANGWANI, YANGA YATETEA KOMBE LA KAGAME...
Wachezaji wa timu ya soka ya Yanga wakishangilia huku wameshikilia kombe baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wao wa Michuano ya Kombe la Kagame kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati baada ya kuifunga Azam kwa mabao 2-0 katika mechi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Mabao ya Yanga yalifungwa na Hamis 'Diego' Kiiza na Saidi Bahanunzi 'Balotelli Mtulivu', ambaye ameibuka kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo ya mwaka huu kwa kuweka kimiani mabao saba.
This is a blog that brings you hot news that aims to educate the community about various things including sports, culture, art, entertainment and social. This blog does not involve political issues at all. We ask for your cooperation and to contribute opinions on the various information we bring to you.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment