Monday, June 25, 2012

VIDEO AKIFANYA NGONO NA KIJANA WAKE YAMTUPA JELA...


Mwanamke ambaye amerekodi mkanda wa video akifanya ngono na mtoto wake wa kiume aliyeungana naye tena baada ya kupoteana kwa miaka 15 amedai mahusiano yao hayakuwa kujamiiana kwa maharimu, ila ni 'ushawishi wa asili'.
Mistie Rebecca Atkinson mwenye miaka 32 alihukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi minane jela katika mahakama kuu ya Napa County, jijini California Jumatano iliyopita.
Hii imekuja baada ya Mistie kukutwa kwenye chumba cha hoteli huko Ukiah, California akiwa na mvulana wa miaka 16, ambaye alirekodiwa kwenye simu akifanya ngono na mama yake.
Mamlaka pia zimegundua picha za utupu za Mistie alizomtumia baada ya kumpata anuani yake kwa njia ya Facebook. Hakuwahi kumuona kijana huyo kwa miaka 15.
Lakini katika barua yake mahakamani, Mistie alidai hachukulii kama ngono ya maharimu, imeelezwa.
"Sidhani kamma nastahili mashitaka ya ngono ya maharimu sababu kuna kitu kinaitwa ushawishi wa asili ambao una nguvu mno ambao huwapata asilimia 50 ya watu wanaokutana tena baada ya kupoteana kwa kipindi kirefu sana," aliandika Mistie.
Utafiti kidogo umefanyika kuhusu ushawishi wa asili. Lakini baadhi ya wataalamu wa magonjwa ya akili wamesema wanafamilia ambao wamepoteana kwa muda mrefu wana uwezekano wa kupata ushawishi wa kujamiiana wao kwa wao wanapokutana wakiwa watu wazima.
Aliripotiwa kutokuwa na mawasiliano na kijana wake hadi mwaka jana pale alipoanza kumtumia meseji zisizokuwa za kawaida kwenye mitandao ya kijamii.
Kijana huyo alikuwa akiishi na baba yake wakati huo akijua fika kwamba Mistie alikuwa mama yake.
"Inaonesha hakuwa na mawasiliano yoyote na kijana wake kwa miaka 15," kimeeleza chanzo kimoja cha habari.
"Aliwasiliana naye mwishoni mwa mwaka jana kupitia mtandao wa Facebook na alikuwa akimtumia meseji zisizofaa."
"Mahusiano ya kimapenzi yalianza baada ya polisi kushughulikia ripoti ya ugomvi kati ya Mistie na rafiki yake wa kiume waliyekuwa wakiishi naye huko Nice, California.
Mahusiano hayo yakawa hadharani baada ya ndugu wa mvulana huyo kuripoti kuona meseji zisizofaa kwenye Facebook kati yake na Mistie.
Mistie na kijana huyo walibambwa kwenye chumba cha hoteli Machi 2, mwaka huu.
Polisi walikamata video kwenye simu ya kijana mwezi mmoja kabla ikionesha Mistie akipapasana na kijana huyo kisha kufanya ngono naye.
Mistie pia alimtumia picha zake za utupu kijana huyo kutoka kwenye simu yake, nyaraka za mahakama zimeeleza. Walizungumzia pia mpango wa kutoroka pamoja.

No comments: