Saturday, June 9, 2012

UNAIKUMBUKA HII YA WILL SMITH NA DJ JEZZY JEFF?

 
Hii ilikuwa miaka ya 1993 ambapo taarifa nyepesi-nyepesi zinasema kwamba Will Smith yuko bize kuweza kuandaa mkusanyiko wa nyimbo zoote zilizotamba na kutoa albamu kali hivi karibuni.

No comments: