Saturday, June 23, 2012

UJERUMANI YATINGA NUSU FAINALI EURO 2012 KWA KISHINDO...


Ujerumani usiku wa kuamkia leo imeungana na Ureno kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Euro 2012 baada ya kuisambaratisha Ugiriki kwa mabao 4-2. Haya ndio mabao ya mechi hiyo.

No comments: