Thursday, June 21, 2012

TBL YASAIDIA MRADI WA MAJI CHUO CHA MT. AUGUSTINE...


Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo (katikati) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 53, Naibu  Makamu Mkuu wa Chuo cha St. Augustine (SAUT), Padri Thadeus Mkamwa (kulia) katika hafla iliyofanyika chuoni hapo juzi. Anayeshuhudia kushoto ni Naibu  Makamu Mkuu wa chuo hicho Utawala na Fedha, Padri Peter Mwanjonde. Msaada huo ni kwa ajili ya mradi wa maji chuoni hapo pamoja na kilimo cha umwagiliaji.

No comments: