Gaga alikuwa akitumbuiza wimbo wake "Judas" ndipo tukio hilo ambalo halikutarajiwa likatokea, lakini hiyo haikumfanya apotee midundo ya wimbo huo.
Baadaye katika onesho hilo, aliueleza umati uliofurika hapo, "Ninaomba radhi. Nimegongwa kichwani na nguzo na nadhani nimepata maumivu kiasi. Lakini msihofu, nitamalizia shoo yangu bila wasiwasi."
No comments:
Post a Comment