Bondia maarufu na bingwa wa zamani wa dunia, Evander Holyfield anakabiliwa na adhabu ya kifungo jela kama atashindwa kulipa deni la Dola za Marekani 300,000 za matunzo ya mtoto, imefahamika.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Idara ya Huduma za Jamii imeenda mahakamani kwa niaba ya binti wa Evander mwenye miaka 18, Imani Holyfield ikidai bingwa huyo wa zamani ameshindwa kutekeleza amri ya mahakama kulipa fedha hizo kiasi cha Dola za Marekani 372,097.40 tangu Aprili 2010.
Idara ya hiyo imeshindwa kuvumilia kusubiri, hivyo inamtaka Jaji kumfunga Holyfield na kukata mshahara wake hadi hapo atakapolipa deni hilo.
Mwakilishi wa Evander amesema hakuwa akifahamu kuhusu suala hilo lakini akaongeza, "Holyfield ana mahusiano ya ajabu na binti yake."

No comments:
Post a Comment