Wednesday, June 27, 2012

CHEKA TARATIBU...

Jamaa baada ya kusumbuliwa sana na tatizo la meno, kaamua kwenda kwa daktari wa meno. Mahojiano yakawa hivi:-
Jamaa: Itagharimu kiasi gani kung'oa meno haya mabovu?
Daktari: Shilingi Laki moja tu.
Jamaa: Laki Moja kwa yote kwa kazi ya dakika chache tu?
Daktari: Ukipenda naweza kukung'oa taratibu hata kwa siku tatu!

No comments: