Tuesday, June 26, 2012

CHEKA TARATIBU...

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi, babu mmoja kaamua zake kuja mjini kutazama sinema. Baada ya kununua tiketi akasimama kununua soda ya kopo.
Wakati akilipa Shilingi 1,000 akamwambia mhudumu, "Mara ya mwisho kuja hapa soda ilikuwa Shilingi 1."
Mhudumu akajibu, "Ooh ni kweli kabisa, leo utafurahi zaidi, sinema inatoa na sauti kabisa!"

No comments: