Tuesday, June 12, 2012

CHEKA TARATIBU...

Unaambiwa ni wiki moja tu baada ya Shirika la Posta huko Zimbabwe kutoa stempu mpya zenye picha ya Rais Robert Mugabe. Lakini uchunguzi umeonesha maeneo mengi nchini humo zimekutwa barua kibao zilizobandikwa stempu ndivyo sivyo! Yaani chini juu...
-From Bonny Mazingaizo Jr., Bulawayo

No comments: