Waziri mmoja katika wizara moja nyeti alikuwa akiendesha gari wikiendi moja huku akiwa na mkewe pembeni. Wakafika kwenye kituo cha mafuta. Wakati mhudumu akiwajazia mafuta akamweleza mke wa waziri, "Tumesoma wote Sekondari pale Makongo!" Mke wa waziri akajibu, "Eeeh, ni kweli nimekukumbuka!" Baada ya kuhudumiwa wakaondoka na wakiwa njiani waziri akamwambia mkewe, "Kama ungeolewa na yule jamaa leo usingekuwa mke wa waziri!" Mke akajibu, "Ni kweli kama ningeolewa naye, basi na yeye leo angekuwa waziri!" Balaa...
Thursday, June 7, 2012
CHEKA TARATIBU...

This is a blog that brings you hot news that aims to educate the community about various things including sports, culture, art, entertainment and social. This blog does not involve political issues at all. We ask for your cooperation and to contribute opinions on the various information we bring to you.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment