Wednesday, June 6, 2012

CHEKA TARATIBU...

Rais anasalimiana na wapigakura wake mara baada ya kuchaguliwa tena kuongoza kwa kipindi cha pili.
Mpigakura mmoja akasema wakati akishikana mikono na Rais wake, "Nimefarijika sana kukutana nawe mheshimiwa! Nimesikia mengi sana kuhusu wewe katika miaka michache iliyopita."
Rais huku akicheza akajibu: "Huwezi kuthibitisha lolote kati ya hayo!" Duh...

No comments: