Jamaa mmoja kafariki, na sasa akawa anakabiliana na lango la kuzimu.
Hapo akamuona Mchungaji wake akiwa kasimama na mwanamke mwenye sura mbaya.
Jamaa akageuka na kumuuliza shetani, "Kwanini mchungaji wangu yuko na mwanamke huyu mbaya?" Shetani akajibu, "Wakati akiwa duniani, kuna mambo mabaya alifanya. Hiyo ndio adhabu yake!"
Jamaa akageukia upande wa pili na kwa mbali kidogo akamuona Idi Amini kasimama na msichana mrembo sana. Akamuuliza shetani, "Idi Amini anafanya nini pale na mrembo yule?" Shetani akajibu, "Yule mrembo kuna mambo mengi mabaya aliyafanya duniani, na ile ndio adhabu yake!" Duh...Tenda mema ndugu yangu...

No comments:
Post a Comment