Tuesday, May 1, 2012

MAN CITY YAICHAPA UNITED NA KUKAA KILELENI...


Hili ndio bao murua lililowekwa kimiani na Vincent Kompany usiku wa kuamikia leo kwenye Uwanja wa Ettihad na kuwalaza mapeeema mashabiki wa Manchester United ambao walikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa 'Wenye Mji' Manchester City. Kwa ushindi huo, City wamerejea kileleni kwa uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa. Zimesalia mechi mbili kumpata bingwa wa England msimu huu.

No comments: