Thursday, May 10, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Angalia mtoto huyu anavyotafuta balaa. Jiulize mpaka anafikia hapo wazazi wake walikuwa wapi?
Hakuna namna nyingine ya kumdhibiti mtoto huyu bali ni kumweka kwenye droo jikoni. Ni aina gani hii ya wazazi?

No comments: