Thursday, May 3, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Kwa raha zao, wazazi hawa wakipiga kinywaji baa huku mtoto akiwa kajilaza miguuni mwao.
Malipo ya utundu? Hapana, sitaki kuamini hivyo hata kidogo. Ni roho tu ya ukatili waliyonayo wazazi wao.

No comments: