Jamaa mmoja kaenda kuungama makosa yake katika kanisa moja. Basi akaanza hivi, "Naomba Mungu Baba unisamehe makosa yangu yafuatayo. Niliiba mifuko sita ya simenti, nilibaka visichana viwili vya shule, nikashiriki kutoa mimba ya hausigeli mmoja. Lakini hata hivyo, pamoja na mabaya yote kuna zuri moja nimefanya. Jana katika matembezi yangu niliokota mfuko wa plastiki, kufungua ndani yake kulikuwa na milioni sabini. Basi baba nikaufunika na kuwakabidhi polisi wamtafute mwenyewe!" Kusikia hivyo Padri akajibu kwa ukali huku akiinuka na kuondoka, "We mjinga sana, kwanini usiulete hapa kanisani?" Duh, ama kweli pesa ni shetani...

No comments:
Post a Comment