Thursday, May 17, 2012

CHEKA TARATIBU...

Mzee mmoja mwenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro kapata ajali mbaya sana. Wakati akipatiwa huduma chumba cha wagonjwa mahututi huku hajitambui, madaktari waliokuwa wakimhudumia wakawa wanateta. "Huyu mzee sidhani kama atapona. Ila nasikia kama angepona bima wangemlipa fidia milioni nane." Wakati wakiendelea na majadiliano, mara yule mzee akinuka ghafla, "Samahani wasee, mmesemaje? Hebu rudia..." Madaktari wote mbio...

No comments: