Sharobaro mmoja kaingia saluni kunyoa nywele huku akiwa kachomeka hedifoni kichwani. Kinyozi akamwambia, "Naomba utoe hizo hedifoni kichwani." Sharobaro akamjibu, "Huwezi, nitakufa." Kinyozi huku sasa akiwa amekasirika akasema, "Siwezi kukunyoa huku ukiwa na hedifoni kichwani."
Sharobaro akajibu, "Nimesema huwezi kutoa ama nitakufa!" Kinyozi kwa hasira akachomoa zile hedifoni na kuzitupa. Ndani ya sekunde kadhaa yule Sharobaro akaanguka na kufa. Kuona vile Kinyozi akazifuata zile hedifoni na kusogeza sikioni na kusikia sauti ya kujirudia-rudia, "Vuta pumzi ndani, Sukuma pumzi nje!" Duh, kumbe zilikuwa ni zaidi ya hedifoni...!"

No comments:
Post a Comment