Bobby Brown amejitokeza hadharani na kudai hatakiwi kulaumiwa kwa kifo cha Whitney Houston kilichosababishwa na dawa za kulevya akidai kuwa, "Dawa hizo alianza kutumia hata kabla ya kukutana naye."
Brown alisema kwenye mahojiano ya televisheni kwamba, "Sikuwahi kutumia dawa za kulevya kabla ya kukutana na Whitney. Nilikuwa navuta bangi na kunywa bia, lakini sio mimi niliyemuingiza Whitney kwenye dawa za kulevya. Mimi sio sababu za kifo chake."
Ni wazi kwamba Bobby hahusishi bangi na dawa za kulevya, hata pia Serikali ya Marekani haitambui hilo.
Bado, Brown amesisitiza kwamba hajagusa dawa za kulevya dawa za kulevya kwa miaka saba...na kuongeza aliumia sana kusikia Whitney ameanza tena kutumia dawa hizo katika siku za mwishoni akisema, "Najua alikuwa bado akipambana kuacha."
Brown alihitimisha, "Naweza kusema kwa ukweli kabisa nampenda sana Whitney, namini na yeye alinipenda kiasi kile kile."

No comments:
Post a Comment