MOVIE KALI YA "DARK KNIGHT RISES" IKO NJIANI...

Mwigizaji maarufu wa Hollywood, Christian Bale hivi karibuni anatarajia kuzindua filamu yake kali ya "DARK KNIGHT RISES" ambayo inaelezwa kuwa ni moto wa kuotea mbali. Kaa mkao wa kula. ziro99blog imebahatika kupata 'trela' ya filamu hiyo.

No comments: