Saturday, April 21, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Leo nisiwe msemaji saaana. Wacha nikushirikishe na wewe msomaji wangu katika hili. Angali kwa makini picha hii kisha unitumie maoni yako ukizingatia katikati yao amekaa mtoto.
Huyu naye katoa kali. Upandaji gani huu wa bodaboda? Kama haitoshi anamburuta mtoto wake kwa nyuma. Nipe maoni yako niwashirikishe na wasomaji wenzako wengine! Bofya comments hapo chini na wengine wasome maoni yako!

No comments: