Wednesday, April 18, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Mzazi huyu naye kakosa kabisa michezo ya mtoto hadi kumfanyia upuuzi huu...
...Kweli mwana wa nyoka ni nyoka! Angalia katoto haka kanavyomgongea sigara baba yake. Inaonesha huwa anampa siku moja moja, si bure!

No comments: