Friday, April 20, 2012

KUTANA NA WAZAZI BAYA ZAIDI DUNIANI...

Jamani...Jamani...Jamani, huyu mtoto kasahau nini humo? Pengine mzazi wake anajua!
...Haya, huyu naye anajisaidiaje kwa staili hii? Analia, ina maana mzazi wake hasikii kelele?

No comments: