Monday, April 23, 2012

BORA PUNDA AFE MZIGO UFIKE...

Hii ilikuwa leo asubuhi kwenye Barabara ya Shekilango mbele ya Chuo cha Ustawi wa Jamii, maeneo ya Bamaga ambapo jamaa huyu alikuwa akipumzika kabla ya kuendele na safari.

No comments: