Tuesday, March 20, 2012

WAWEZA 'KUTUPIA' HIVI UKIENDA KWENYE BURUDANI...

Kama tulivyoanza jana, tutaendelea kuwaletea mpangilio wa mavazi mbalimbali katika kukuepusha kugeuka kituko machoni mwa watu. Nakuhakikishia ukizingatia hivi, wengi wataiga kutoka kwako.

3 comments:

Anonymous said...

Hii segment imetulia kwa kweli

Anonymous said...

Big up uncle patty. kweli ume-advance kaka!

Anonymous said...

Kali sana mjomba