Thursday, March 22, 2012

UNAENDA HARUSINI? WAWEZA KUTUPIA HIVI...

Nakwambia ukweli, ukitupia hivi utafunika mno harusini. Hata hivyo ukishindwa kukopi na kupesti kutokana na mambo ya mshiko, basi waweza kufananishia na hivi ila usitoke mbali na hapa.

No comments: