Sunday, March 11, 2012

SHOO YA 'KUFA MTU' AKUDO IMPACT IJUMAA ILIYOPITA...

Hii ilikuwa siku ya Ijumaa iliyopita wakati "Vijana wa Masauti" Akudo Impact walipofungua shamrashamra za wikiendi pale kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni. Kama ulikosa shoo hii basi usipoteze nafasi nyingine kwani Ijumaa ijayo wataangusha shoo nyingine pale pale. Usikose!!

No comments: