Friday, March 23, 2012

MSHIKEMSHIKE WA MFUASI WA AL-QAEDA NA POLISI UFARANSA...

Hali ilivyokuwa mtaani kwenye eneo la tukio baada ya askari wa Ufaransa kuvamia ghorofa alilokuwa akiishi kijana ambaye ni mfuasi wa kundi la al-Qaeda na kufanikiwa kumuua juzi.

No comments: