Monday, March 12, 2012

HALI YA FOLENI ILIVYOKUWA LEO...

Hali ndivyo ilivyokuwa leo asubuhi kwenye barabara ya Bagamoyo na Ali Hassan baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam. Fuatilia ujionee... (Video ya ziro99blog)

No comments: